Sample Texts
Specialty:
Art
From:
English
The Rwandan Genocide was the 1994 mass killing of an estimated 800,000 people. Over the course of approximately 100 days from the assassination of Juvénal Habyarimana on April 6 through mid-July, at least 800,000 people were killed, according to a Human Rights Watch estimate.[1] Other estimates of the death toll have ranged between 500,000 and 1,000,000 [2] (a commonly quoted figure is 800,000) or as much as 20% of the country's total population.
To:
Swahili
Mauaji ya halaiki ya Rwanda uliokuwa mwaka wa 1994 yalisababisha vifo vya takribani watu 800,000. Katika kipindi cha siku takriban 100 kutoka kwa mauaji ya Juvénal Habyarimana Aprili 6 hadi kati mwa mwezi wa Julai, angalau watu 800,000 waliuawa, kulingana na makadirio ya wanaharakati wa Haki za Binadamu .[1 ] Makisio mengine ya ushuru wa kifo yanakisiwa kuwa kati ya 500,000 na 1,000,000 [2] (ya takwimu ya kawaida imenukuliwa ni 800,000) au asilimia kama 20% ya idadi ya jumla ya watu katika nchi.