Sample Texts
Specialty:
Immigration
From:
English
A final word
This guide is designed to answer some of the questions you might have about resettlement and the UK. You may have questions that this guide has not answered. If you do still have questions, you should ask your project worker in your resettlement area who may be able to help you further.
To:
Swahili
Neno la mwisho
Mwongozo huu umeundwa ili kujibu baadhi ya maswali ambayo unaweza kuwa nayo kuhusu uhamisho na Uingereza. Unaweza kuwa na maswali ambayo mwongozo huu haujajibu. Kama bado una maswali, unapaswa kumuuliza mfanyakazi wako wa mradi katika eneo lako la uhamisho ambaye anaweza kukusaidia zaidi.