Sample Texts
Specialty:
Literature - Children's
From:
English
Topic is how to teach children games.
Sample: When creating a game for Live Safe Play Safe, keep these points in mind:
• Develop games with everyone in mind, including children and youth who are living with HIV, both girls and boys, and persons with disabilities.
• Emphasize hope and action. Details of symptoms related to AIDS or statistics about death can cause people to feel fear.
To:
Swahili
Mada ni kuhusu jinsi ya kufunza watoto michezo.
Sampuli :Unapounda mchezo wa Live Safe Play , tilia maanani hoja zifuatazo:
• Unda michezo ukimtilia maanani kila mmoja akilini mwako ,pamoja na watoto na
vijana ambao wanaishi na VVU-Virusi Vya Ukimwi,wavulana kwa wasichana, na watu
wenye ulemavu.
• Sisitiza tumaini na matendo.Maelezo mengi ya vionyeshi vinavyohusiana na UKIMWI au takwimu kuvihusu vifo vinaweza kuwafanya watu kuuhisi woga.
Specialty:
Literature - Children's
From:
Swahili
Kwa mpendwa mpangaji,
Ningependa kuchukua fursa hii kukuambia kwamba S.U.C.C.E.S.S, chama cha muda mrefu na kisichofanya kazi kwa faida,kimeteuliwa kusimamia na kufanya shughuli za Hillside Gardens.
Chama cha S.U.C.C.E.S.S kiliteuliwa kutokana na mwito wa mapendekezo mbalimbali uliotolewa mapema katika mwezi wa Julai na mkoa. Huu ni wakati ambao walikuwa wakitaka mchapa kazi asiyefanya kazi kwa faida, aliye na historia ya kusimamia familia, pamoja na wakimbizi na wasafiri wapya.
To:
English
Dear Resident:
I would like to take this opportunity to advise you that S.U.C.C.E.S.S, an experienced non-profit society, has been selected to manage and operate Hillside Gardens.
S.U.C.C.E.S.S was selected as the result of a proposal call issued earlier in July by the Province seeking a non-profit operator with a history of supporting families, including new immigrants and refugees.