Sample Texts
Specialty:
Health Care
From:
English
Malaria is caused by a parasite called Plasmodium, which is transmitted via the bites of infected mosquitoes. In the human body, the parasites multiply in the liver, and then infect red blood cells.
Symptoms of malaria include fever, headache, and vomiting, and usually appear between 10 and 15 days after the mosquito bite. If not treated, malaria can quickly become life-threatening by disrupting the blood supply to vital organs.
To:
Swahili
Malaria husababishwa na vimelea vya Plasmodium, ambavyo husambazwa kwa kuumwa na mbu walioambukizwa. Katika mwili wa binadamu, vimelea hivi huzaana kwenye ini, na kisha huambukiza chembechembe nyekundu za damu.
Dalili za malaria ni joto mwilini, kuumwa na kichwa na kutapika, na kwa kawaida hujitokeza kati ya siku 10 na 15 baada ya kuumwa na mbu. Isipotibiwa, malaria yaweza kutishia uhai kwa haraka kwa kutatiza kusambaa kwa damu kwa viungo muhimu.